Rais wa Rwanda Paul Kagame amevunja rekodi yake mwenyewe kwa kushinda uchaguzi wa Jumatatu kwa zaidi ya 99% ya kura, matokeo kamili ya awali yanaonyesha. Kagame mwenye umri wa miaka 66 alishinda ...