WAZIRI wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amewataka watumishi wa sekretarieti ya Mkoa wa Singida kutanguliza maslahi mbele ya wananchi katika utendaji wao wa kazi ili ...
Waziri wa Maji Juma Aweso. Waziri wa Maji Juma Aweso amewahakikishia wakazi wa Dar es Salaam na Pwani upatikanaji wa Maji safi na salama katika mikoa hiyo kwani Changamoto ya hitilafu ya mtambo wa ...
Juzi, Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema, kupitia taarifa yao kwa umma, alisema hawajajitoa na wala hawana mpango wa kujitoa kwa sasa. “Tunawahimiza wanachama ...
Kamishna Awadhi ametoa kauli hiyo kipindi ambacho Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinamtuhumu kukiuka sheria za uchaguzi, pia yeye binafsi kuwapiga baadhi ya viongozi wa chama hicho, ...
Rais Samia Suluhu Hassan, ameelekeza kurejeshwa kwa eneo la takribani mita za mraba 7503 na Sh. Milioni 500 zilizokuwa mali ya Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, Parokia ya Mtakatifu Theresia wa ...
SEKTA ya Mawasiliano Tanzania, imeendelea kuimarika ndani ya miezi mitatu kutokana na kuenea huduma zinazotumia teknolojia za kidigitali katika maeneo mengi nchini. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya ...
Limesema hatua za kisheria zitachukuliwa, ili jamii iendelee kuishi kwa amani na kutimiza haki ya kikatiba kushiriki uchaguzi huo. Mkuu wa Jeshi hilo, Inspekta Jenerali (IGP) Camilus Wambura, ...
SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi na imesema itaunda timu maalum itakayoshughulikia na kusimamia urejeshaji wa huduma ya usafiri wa Vivuko katika Wilaya ya ...
Tukio hilo lililotokea saa 12:30 asubuhi katika maeneo ya ‘1245 Night Club’ Masaki, linadaiwa kuhusisha Derick kumjeruhi Julian Bujuru kwa kutumia kitako cha bastola, na kumjeruhi sehemu ya jicho na ...
Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imeitaka Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kuendelea kushirikiana na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GAZ) ili ...
Nicodemus Minde explains how Tundu Lissu has become the face of opposition in Tanzania following his defiant and unrelenting criticism of the government. Since he came into the national limelight in ...
On the same day as his arrest, Chadema Vice-Chairperson Tundu Lissu, along with over 500 supporters, was detained in what appeared to be a coordinated crackdown on the opposition. Lissu ...