TIMU ya Biashara United ilianza vema kampeni yake ya kutaka kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 ...
Taarifa kutoka wizara ya afya ya Lebanon zinasema kuwa watu 182 wameuawa na wengine 727 kujeruhiwa, wakiwemo watoto, wanawake ...
Rais Samia ametoa tuzo hizo leo Jumanne, Septemba 17, 2024 katika maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi nchini ...
WAKATI Jeshi la Polisi likionya maandamano yaliyopangwa na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa ...
Misime ametoa onyo kwa viongozi wa Chadema kuacha kuhamasisha uvunjifu wa amani na kuwa atakayekaidi hatua za kisheria ...
Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania ambaye pia ni naibu mwenyekiti wa chama cha Chadema, Tundu Lissu amekamatwa kwa mujibu ...
Hali imerejea kuwa ya kawaida jijini Dar es Salaam baada ya polisi kuimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali ya jiji la ...
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya ...
HATIMAYE aliyekuwa mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu, amefanyiwa upasuaji wa mguu wa kulia ambao ...
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Freeman Mbowe na makamu wake Tundu Lissu waliokamatwa siku ya Jumatatu ...
Mtanzania Jeshi la Polisi Tanzania laanza kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uchunguzi wa Kisayansi wa Jinai - Featured ...