WANANCHI wa Kata Mugoma Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera wameishukuru serikali kupitia Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini ...
Naibu Kadhi Mkuu, Ali Khamis Ali amempongeza Mfanyabiashara Shiraz Rashid kwa kujitolea kujenga Msikiti wa Imam Ali Bin Abu Talib eneo la Magomeni jijini Dar es Salaam. Alitoa pongezi hizo mwishoni mw ...
Taarifa kutoka wizara ya afya ya Lebanon zinasema kuwa watu 182 wameuawa na wengine 727 kujeruhiwa, wakiwemo watoto, wanawake ...
Hali imerejea kuwa ya kawaida jijini Dar es Salaam baada ya polisi kuimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali ya jiji la ...
Songea. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuwakataa wanaotaka kuwagawa kwa sababu za kisiasa au tofauti za kiitikadi. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Septemba 23, ...
Kama ungepita nje ya Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma, shangwe zinazosikika ungedhani kuna mchezo wa mpira wa miguu ...