TAASISI mbalimbali zimeendelea kutoa matamko kulaani kuuawa kwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ally Kibao, huku Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu ... na si ...
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limezuia mikutano ya hadhara iliyokuwa ihutubiwe na viongozi wa vyama vya siasa vya ACT-Wazalendo na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) iliyokuwa ifanyike Tanga ...
Mwananchi limemtafuta, Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu ambaye amesema Polisi wanakwenda na mteja kwake nyumbani kwake kwa ajili ya kufanya upekuzi. Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema Makamu ...
Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka hospitalini alikokuwa anapokea matibabu Ulaya na sasa ataendelea kupata nafuu akiwa nyumbani. Mbunge wa Singida Mashariki ...
Raia watatu wa Kenya waliokuwa wameripotiwa kutekwa, hatimaye wameachiwa huru na watekaji wao kama ilivyothibitishwa na mashirika ya kiraia kwenye taifa hilo la Afrika Mashariki siku ya Ijumaa.
Nchini Kenya, Mahakama Kuu jijini Nairobi jioni hii, imetoa msamaha na kufuta hukumu ya miezi sita Jela, iliyokuwa inamkabili, Naibu Inspekta Mkuu wa Polisi Gilbert Masengeli, baada ya hapo awali ...
Taarifa kutoka Kenya zinasema serikali imewafuta kazi maafisa 88 wa Polisi kwa kukiuka taratibu za serikali. Radio ya shirika la utangazaji la Kenya KBC imemnukuu afisa wa ngazi za juu katika ...
Baada ya kumkatisha yale mazungumzo yake ya kunidadisi maisha yangu nikawa nimemchanganya kidogo, hakunidadisi tena mpaka tuliposimamishwa na polisi wa usalama barabarani. Walikuwa polisi wanne ...
imebakiza michezo miwili dhidi ya Vijana Queens na Polisi Stars ili ikamilishe michezo 30 ya mzunguko wa pili. Katika msimamo wa ligi hiyo kwa upande wa wanawake, Tausi Royals inashika nafasi ya pili ...