BINTI wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma ni miongoni mwa mamia ya wanawake na wasichana waliocheza ngoma kwa ajili ya Mfalme wa Eswatini katika sherehe za kitamaduni juzi, kuthibitisha ...
Samia Suluhu Hassan, aendako kiuchumi na mipango ya maendeleo inazidi kuwa mubashara kwa anakonuia kuufikisha uchumi wa nchi, ikiwamo eneo mahsusi mashirika ya umma. Juzi akiwa jijini Arusha kukutana ...
Mwanamume aliyemshambulia mwanariadha wa Uganda Rebecca Cheptegei, amefariki kutokana na majeraha aliyopata alipomwagia petroli mwanariadha huyo aliyeshiriki katika mashindano ya Olimpiki mwaka ...
Last month senior Chadema leaders, Mr Mbowe and his deputy Tundu Lissu, were arrested after they attempted to hold a youth rally. Police banned the rally, saying it was intended to cause violence.
Matokeo ya utafiti kutoka New York Times na taasisi ya utafiti ya Siena yanaonyesha kuwa Trump anaongoza kwa asilimia 48, huku Harris akiwa na asilimia 47. Trump, ambaye anaungwa mkono na karibu nusu ...
Brigedia Jenerali Matamboa ambaye anamaliza muda wake wa kuhudumu kwa mwaka mmoja kwenye nafasi hiyo mwezi huu wa Septemba, amesema hayo akizungumza na mwandishi wetu wa mashariki mwa DRC, George ...
Akiwa Beijing wiki hii, Waziri Mkuu Abiy Ahmed anatarajiwa kuweka msisitizo katika kuimarisha viwanda vya utengenezwaji wa magari ya umeme na bidhaa zingine za kijani. Ni ngumu kujua kwa hakika ...
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Serge Aurier alicheza mechi 113 za Premier League akiwa na Tottenham na Nottingham Forest Beki wa zamani wa Tottenham na Nottingham Forest Serge ...
Mwanariadha wa Uganda wa mbio za Marathon, Rebecca Cheptegei amefariki dunia leo hii Septemba 5, 2024 wakati akipatiwa matibabu ya majeraha aliyoyapata baada ya kumwagiwa petroli kisha kuchomwa moto ...
"Hali yake inaonekana mbaya, akiwa na majeraha ya moto usoni na bandeji," mfanyakazi wa MTRH, ambaye ameomba kutotajwa jina, ameliambia shirika la habari la AFP. Kulingana na Gazeti la Kenya la ...
Nyota huyo raia wa Cameroon alifunga bao hilo ikiwa ni mchezo wa kwanza kwake akiwa ... na kurejea Azam FC. Manula ambaye amekuwa kipa namba moja wa Simba kwa muda mrefu, amekuwa na wakati mgumu ndani ...