Sudakov atakuwa akipania kampeni nyingine nzuri ya Ligi ya Mabingwa, baada ya kuzifumania nyavu dhidi ya Barcelona msimu uliopita. Celtic wametumia pesa nyingi msimu huu wa joto kwa usajili wa ...
Watu 20 wamewauwa, nyumba kuchomwa moto na mali kuporwa katika mashambulio mawili ya waasi wa CODECO kwenye maeneo ya Fataki na Jina, mkoa wa Ituri, mashariki mwa nchi ya DRC. Tukio la Kwanza ...
Haki hizo ni pamoja na haki ya kuwa mzazi au la,kupata habari kuhusu afya ya uzazi ,kupata huduma bora za uzazi ,kushiriki mapenzi kwa njia stahiki na kuhudumiwa katika vituo vya afya kwa heshima ...
Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka hospitalini alikokuwa anapokea matibabu Ulaya na sasa ataendelea kupata nafuu akiwa nyumbani. Mbunge wa Singida Mashariki ...
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea mashine mbili za kisasa zilizogharimu Sh. 68,247,700 kwa ajili ya upasuaji wa macho kwa njia ya tundu dogo kwa wagonjwa wenye tatizo la mtoto wa jicho.
Mcheza tenisi namba sita duniani kutoka Marekani, Coco Gauff, ameachana na kocha wake Brad Gilbert wiki mbili tu baada ya kile alichokitaja kuwa kampeni ya kukatisha tamaa kutetea taji la US Open.
Akizungumza leo katika halfa ya utoaji elimu ya mapambano ya rushwa kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu mkoani Arusha, Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Arusha, Zawadi Ngailo amesema ...
Ni jambo lililotesa wengi lakini sasa ni amani kufuatia ujio wa kampeni ya ‘Tutunzane Mvomero– Mfugaji Mtunze Mkulima na Mkulima Mtunze Mfugaji ili Kulinda Mazingira Yetu.” Ni mradi unaoasisiwa na ...
Majiko hayo yatasambazwa kupitia Kampeni ya Nishati Safi ijulikanayo kama ‘Azam Wheat Flour Clean Energy’ ambayo inalenga kuunga mkono mkakati wa Serikali wa miaka 10 wa matumizi ya nishati safi ya ...
Mwanamke huyo alifanyiwa upasuaji Septemba 17, 2024 na timu ya madaktari bingwa kupitia kampeni ya huduma za madaktari bingwa bobezi wa (Rais) Samia Suluhu Hassan. Daktari bingwa wa magonjwa ya ...
Akizungumza leo Septemba 20, 2024 katika tukio maalum la upandaji miti katika shule zaidi ya 20 ndani ya Wilaya ya Temeke, Mapunda ameziomba Kampuni ya Bima ya Afya na Maisha ya Jubilee na Aga Khan ...
na kiwango kikubwa cha madhara yanayoletwa kwa raia na mifumo iliyounganishwa ya kiraia inayosambaza huduma kwa idadi kubwa ya watu kwa afya zao na kujikwamu kuna sababu za kuridhisha za kuamini kuwa ...