Ni jambo lililotesa wengi lakini sasa ni amani kufuatia ujio wa kampeni ya ‘Tutunzane Mvomero– Mfugaji Mtunze Mkulima na Mkulima Mtunze Mfugaji ili Kulinda Mazingira Yetu.” Ni mradi unaoasisiwa na ...
Kutokana na mazingira hayo hatarishi, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Ilala Dar es Salaam, limeamua kuanzisha kampeni ya miezi sita ya kuwaepusha na vitendo hivyo, vikiwamo ulawiti na ubakaji. Ni ...
UINGEREZA : ZAIDI ya wafungwa 1,700 nchini Uingereza na Wales wataachiliwa huru mapema hii leo, kama sehemu ya mpango wa serikali ulioundwa wa kupunguza msongamano magerezani. Hatua hiyo ilichochewa ...
na kuwalenga watu wa Masalit na jumuiya nyingine zisizo za Kiarabu katika kampeni ya mauaji ya kikabila. Haijafanikiwa kuuteka mji wa Sennar kutoka kwa jeshi.Mwezi Juni, iliteka sehemu kubwa ya ...
Last month senior Chadema leaders, Mr Mbowe and his deputy Tundu Lissu, were arrested after they attempted to hold a youth rally. Police banned the rally, saying it was intended to cause violence.
Wanachama wa timu ya kampeni ya kiongozi wa upinzani Maria Corina Machado walikimbilia huko. Serikali ya Venezuela ilitangaza kumalizika kwa ulinzi wa Brazil kwa jengo hili, hali ambayo imedumu ...
TAIFA Stars, usiku wa leo inaanza vita ya pointi 10. Ni kampeni ya kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika 2025 nchini Morocco. Itacheza na Ethiopia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 1:00 usiku.
Kampeni ya utoaji chanjo ilianza juzi Jumapili baada ya Israel na kundi la Hamas kukubaliana juu ya usitishaji wa mapigano wenye ukomo. Jana Jumatatu, shirika hilo liliweka ujumbe katika mitandao ...
An analysis of the choice of words by American presidential candidates Kamala Harris and Donald Trump in their recent debate reveals five insights into their personalities. The idea that aliens ...
Nchini Algeria, wasimamizi wa kampeni za wagombea watatu wa uchaguzi wa urais wa Septemba 7, 2024 wafanya juhudi zao za mwisho kabla ya uchaguzi. Rais anayemaliza muda wake, Abdelmadjid Tebboune ...
Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina UNRWA Phillipe Lazzarini amesema awamu ya kwanza ya zoezi kubwa la kampeni ya utoaji chanjo ya polio kwa watoto wenye ...