Lori hilo lilikuwa linatokea Mbeya Mjini kwenda Tunduma (katika barabara ya Dar es Salaam - Tunduma - Zambia) na mabasi madogo ya abiria (Daladala) yalikuwa yanafanya safari zake kati Mwanjelwa na ...
Na hatimaye, siku ya Alhamisi, mkimbizi huyo wa zamani aliyehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa jukumu lake katika mauaji ya Septemba 28, 2009, alitangazwa kuwa anazuiliwa katika gereza la mji ...
Huu ni msimu wake wa pili katika Ligi ya Mabingwa baada ya kampeni ya 2020-21 akiwa na Rennes - alipofunga bao dhidi ya Chelsea. Kipa wa Ukraine Trubin anaingia msimu wake wa tano katika Ligi ya ...
Sheria ya kutotoka nje ilitangazwa jioni ya Jumatano Septemba 18 katika baadhi ya wilaya za Fort-de-France na Lamentin, huko Martinique, baada ya usiku mwingine wa vurugu za mijini katika muktadha ...
Pamoja na kuruhusu mashabiki kuingia bure katika Uwanja wa Sokoine ... Mchezo huo ambao ulikuwa wa ufunguzi, Mbeya City walikuwa wenyeji ambapo matarajio ya wadau na mashabiki wa timu hiyo jijini ...
DONALD Trump na Kamala Harris wametunishiana misuli kwa mara ya kwanza kwenye jukwaa la mdahalo wa urais huko jijini Philadelphia ... na maofisa waliohudumu katika utawala wake ambao wamekuwa ...
Gauff, 20, alishinda taji lake la kwanza kubwa la mchezo huo jijini New York mwaka uliopita chini ya usimamizi wa Gilbert. SOMA: Fahamu mashindano makubwa ya tenisi duniani Lakini amelipoteza mwaka ...
Akizungumza leo katika halfa ya utoaji elimu ya mapambano ya rushwa kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu mkoani Arusha, Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Arusha, Zawadi Ngailo amesema ...
Makubaliano hayo yamefikiwa jana Jumanne, Septemba 17, 2024 baada ya kikao cha majadiliano kilichofanyika kwa zaidi ya saa sita katika ukumbi wa mikutano wizara, Mtumba jijini Dodoma ... mojawapo ...
amesema mpango huo utatekelezwa kwa mwaka mmoja na kwa kuanzia watasambaza majiko 500 kwa mama lishe jijini Dar es Salaam. “Kampeni hii ni hatua muhimu katika kuunga mkono mkakati wa kitaifa wa ...
Kufuatia mfululizo wa matukio ya utekaji na mauaji ya wananchi na viongozi wa chama chake, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema hawatarudi nyuma katika kutetea haki katika ... eneo la Kibo ...