wataanza msafara wa basi kuendesha kampeni ya pamoja kwenye jimbo la Georgia, ambapo chama hicho kilipata ushindi finyu katika uchaguzi wa mwaka 2020. Soma kuhusu: Kamala akubali rasmi uteuzi wa ...
Harris amezungumzia mwenendo wa Trump wakati wa ghasia za Capitol, na maafisa waliohudumu katika utawala wake ambao wamekuwa wakosoaji wa wazi wa kampeni zake mara kwa mara na kumuacha Trump ...
Chama cha Republican kinatumia tembo katika kampeni zake kama ishara ya nguvu na uamuzi. Tembo anaonekana kwenye ishara, magazeti, na tovuti, akisaidia kuimarisha taswira ya chama kama chama ...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris jana Alhamisi ameitetea misimamo yake ya kisera wakati wa mahojiano ya kwanza ya televisheni tangu aanze kampeni zake za urais. Harris aliyekuwa na mgombea ...
Hatua hii inakuja, wakati huu nchi hizo mbili zikigeukia Urusi na kundi la Wagner, kusaidia kwenye masuala ya usalama katika eneo la Sahel. Uhusiano wa nchi hizo mbili na mataifa ya Ulaya ...
Kampeni za uchaguzi wa mapema wa urais wa Septemba 7 ziko katika saa zake za mwisho. Wagombea hao watatu na wafuasi wao wametoa wito wa ushiriki mkubwa katika uchaguzi huu. Dahmane ana hakika ...
Karibu raia hao 100 wa Ukraine na watu wanaowaunga mkono walishiriki katika mkusanyiko ulioandaliwa na kundi linalowasaidia mbele ya Kituo cha Treni cha Shibuya jijini Tokyo jana Jumamosi.
Kampeni ya utoaji chanjo ilianza juzi Jumapili baada ya Israel na kundi la Hamas kukubaliana juu ya usitishaji wa mapigano wenye ukomo. Jana Jumatatu, shirika hilo liliweka ujumbe katika mitandao ...
“Does that lion have a name?” asked President Samia. "If not, name him Tundu Lissu.” Mr Lissu is the leader of the main opposition party Chadema. He was arrested earlier this year for ...
Hata hivyo kiongozi huyo wa UNRWA amesisitiza kuwa ili kampeni hiyo iweze kufanikiwa, pande zote katika mzozo unaoendelea huko Gaza ni lazima ziheshimu sitisho la muda la mapigano katika ukanda huo.