Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Peter Ulanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Ulanga anachukua nafasi ya Ladislaus Matindi ambaye amestaafu. Hali ya ukimya imeendelea ...
Wizara wa Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza mchakato wa kufanyia maboresho ya Sera ya Sayansi na Teknolojia, ambapo wadau ...
Unatambua kuwa walimu shule binafsi wanafanya kazi katika mazingira magumu ikiwamo kukosa kinga na usalama wa ajira zao?
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Peter Ulanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Ulanga anachukua ...
Longido. Changamoto ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Oltepes kilichopo Kata ya Orbomba, wilayani Longido huwalazimu ...
Kuna wanawake wenye roho mbaya na wachoyo wanaokamia kuolewa huku wakipania kwenda eti ‘kuwakomesha’ ndugu wa mume! Mara ...
Jana, gazeti la Mwananchi lilikuwa na taarifa kuhusu biashara ya vyuma chakavu inavyochochea kuwapo kwa matukio ya uhalifu maeneo mbalimbali nchini. Biashara hiyo imechochewa na kuwapo viwanda vya ...
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kinatekeleza miradi 84 iliyopo hatua mbalimbali tangu kilipoanza utekelezaji wa sheria namba 103 Aprili, 2024, kwa lengo la kuwa ...
Baadhi ya wajasiriamali jijini Dar es Salaam, wameomba kupunguzwa kwa urasimu katika usajili wa vikundi ili kupata mikopo ya ...
Hatimaye mwili wa Jackson Joseph (29) uliokuwa ukigombaniwa na familia mbili, umezikwa leo Novemba 11, 2024 kwa mara ya pili ...
Wachambuzi wa masuala ya siasa nchini wamesema malalamiko ya vyama vya upinzani kuchezewa rafu katika chaguzi za serikali za mitaa yataendelea kuwepo hadi pale kutakapokuwa na chombo cha ...
Vya vya upinzani vimedai sababu za wagombea wao kuenguliwa, zimewagusa wagombea wa upinzani kwa sehemu kubwa huku wale wa ...