Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania ambaye pia ni naibu mwenyekiti wa chama cha Chadema, Tundu Lissu amekamatwa kwa mujibu ...
Msingi wa ulinzi huo mkali, ni kuhakikisha wanadhibiti vilivyo maandamano yaliyoitishwa Septemba 11, 2024 na Chadema, waliyoyaita ya maombolezo na amani.
JESHI la Polisi nchini limefanikiwa kudhibiti maandamano ya viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam. Aidha, Kamanda wa Polisi wa Kan ...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limewakamata watu 14 wakiwamo viongozi wa Chama cha Demokrasia na ...
Mlinzi wa ofisi ya Chadema Mikocheni, Kopwe Michael amesema polisi walianza kuzingira katika ofisi hiyo saa 3:00 asubuhi ...
CHAMA cha ACT Wazalendo kimekiomba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kusitisha maandamano ya amani yaliyopangwa ...