Dar es Salaam. Mwili wa kijana ambaye hajafahamika jina lake, umekutwa kando Barabara ya Mandela eneo la Tabata Relini jijini ...
Siku chache baada ya watu wasiofahamika kuvamia na kuvunja sanamu la Mwalimu Julius Nyerere katika Manispaa ya Tabora, mkuu ...
Rais Samia amemtaka Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kuhakikisha Mradi wa Maji wa Mtyangimbole unakamilika baada ya miezi mitatu ...
Polisi wakishirikiana na wananchi kupakia kwenye gari mwili wa mtu asiyejulikana aliyekutwa amefariki eneo la Ubungo External ...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeipa Serikali ya Tanzania siku 14 kuwasilisha majibu na kiapo kinzani katika ...
Kufuatia kukamatwa kwa mwanamuziki Sean “Diddy” Combs wiki iliyopita imeripotiwa kuwa mauzo ya nyimbo zake yamepanda na ...
Madaba. Huenda changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji ikabaki historia katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma, baada ya Serikali kutekeleza Mradi wa Maji wa Mtyangimbole ...
Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es Salaam, leo Jumanne, Septemba 24, 2024 imepanga kuanza kusikiliza kesi ya kikatiba ...
Jeshi la Polisi limetangaza majina ya vijana waliochaguliwa kujiunga na jeshi hilo pamoja na tarehe ya kuripoti shuleni.
Beki wa Al Ahly Tripoli ya Libya, Thienry Manzi amemuomba radhi kiungo wa Simba, Deborah Fernandez, baada ya kumuumiza kwenye mchezo wa jana wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya mtoano.
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imeanza kuwaachia wanachama na viongozi wa Chadema waliokamatwa akiwemo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amekamatwa na ...
ERIK ten Hag ameshindwa kuvumilia na kudai kwamba ni upuuzi hicho kinachozungumzwa kwamba ametibuana na Marcus Rashford.