Hukumu imetolewa leo Septemba 24, 2024 na Jaji Athuman Matuma, aliyesema Mahakama inamuachia huru mshtakiwa kwa sharti la ...
Msanii wa Hip Hop, Chid Benz amesema ameamua kutembea kwa miguu kutokana na madereva wengi wa bodaboda kuogopa kumbeba ...
Katika utetezi wake mahakamani hapo, Rehema alidai Februari 23, 2023, mume wake alichukuliwa nyumbani na kundi la wanaume ...
Zikiwa zimebaki siku 15 kuanza uandikishaji wa wapigakura. Oktoba 6, 2024 itaanza kutolewa elimu kwa waandikishaji wa ...
Dar es Salaam. Mwili wa kijana ambaye hajafahamika jina lake, umekutwa kando Barabara ya Mandela eneo la Tabata Relini jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea jana Jumatatu Setemba 22, 2024, saa ...
Siku chache baada ya watu wasiofahamika kuvamia na kuvunja sanamu la Mwalimu Julius Nyerere katika Manispaa ya Tabora, mkuu ...
Rais Samia amemtaka Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kuhakikisha Mradi wa Maji wa Mtyangimbole unakamilika baada ya miezi mitatu ...
Polisi wakishirikiana na wananchi kupakia kwenye gari mwili wa mtu asiyejulikana aliyekutwa amefariki eneo la Ubungo External ...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeipa Serikali ya Tanzania siku 14 kuwasilisha majibu na kiapo kinzani katika ...
Kufuatia kukamatwa kwa mwanamuziki Sean “Diddy” Combs wiki iliyopita imeripotiwa kuwa mauzo ya nyimbo zake yamepanda na ...
Madaba. Huenda changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji ikabaki historia katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma, baada ya Serikali kutekeleza Mradi wa Maji wa Mtyangimbole ...